Thursday 14 March 2013

NINI UTAFANYA UKIAMKA NA KUKUTA JAMAA ANAKUPIGA MASHINE?: SWALI

Hivi kwa mfano unaamka usiku unakuta jamaa humjui jeusi tiii anakufanya mtu si ulipoona vile ukataka kuchomoa mboo akakwambia subiri nimalizie bao la tano nikupe milion250 zako utafanyaje? Utachomoa au utakatikia ili apige alaka akupe ela yako?

BABY HAUTANIWI!?

Boy: Nakupenda sn mpenzi wangu.

Girl: Hata mimi nakupenda sana tena zaidi ya ww unavyonipenda, ila samahani tupendane hivi hivi me maswala ya ngono sipo tayali nakunzia hadi pale utakapo niowa.

Boy: Hilo halina shida hata mimi naomba tupendane hivi hivi maswala ya kuombana hela sitaki, nakutunzia hadi pale ntakavyo kuowa. 

Girl: Mmmmh! Baby hautaniwi.

Tiririkaaaaaaaaa!!!

DOGO ATOA MPYA KWA BABA YAKE!

Dogo asubuhi anasikia mama anamwambia Beka "mme wng umenipa mboo tam sana jana sidhani kama nitakuacha"...bas pindi baba anamuaga mtoto ili aende kazini, akamuulza nikuletee nini, Dogo akajibu "mboo tamu kama unayompaga mama ili namimi nikupende zaidi " Baba akabaki anatoa macho! Jamani msiwe mnasema maneno mabaya bila kuangalia kama mtoto yupo karibu! matokeo yake ndo haya

HUYU NJEMA NI NOMA!

Jamaa anatembea akaona kitu kama mavi, akashtuka!
"Inaoneka ni kama mavi, jee ni mavi? hebu nishike!" akashika..
"ni laini laini kama mavi, lakini ni kweli mavi?? hebu ninuse"... akanusaa.. 
"mmmph, inanuka kama mavi, lakini kweli mavi? hebu ni rambe" akaramba..
"pppooh! ni mavi!! alhamdulillah sikuyakanyaga!"

DK 15 ZA KUCHEKA!


WATOTO WALIOCHEKESHA ZAIDI 2012 KTK INTERNET


NAHODHA WA LIVERPOOL STEVEN GERRARD AKIMSIFU PHILIPPE COUTINHO - BREAKING NEWS


Akiwa na miaka 20 Philippe Coutinho akiwa amekamilisha usajili wa kuichezea Liverpool akitokea Inter Milan kwa dau la €10 million mwezi January amefanya mambo ambayo tayari yanaonesha kila dalili kua atakua msaada sana kwa klabu yake mpya ya Liverpool.

Gerrard alisema: "Ana mambo ya ajabu anaweza kufanya kiwanjani".

"Nadhani utamuona zaidi msimu ujao akiwa amecheza mechi za matayarisho zote na kuzoea spidi ya ligi hii.
"Alichoonesha kwa dakika 55 au 60 imeonesha kwamba ye ni mchezaji wa juu na anafaa kuiwakilisha klabu hii. Atakapokua tayari kwa dakika zote 90 msimu ujao akiendelea na atakua hazina kubwa kwetu."

Umeshamuona akicheza, nini maoni yako juu yake?
Nahodha wa Liverpool Steven Gerrard akimsifu Philippe Coutinho.

Akiwa na miaka 20 Philippe Coutinho akiwa amekamilisha usajili wa kuichezea Liverpool akitokea Inter Milan kwa dau la €10 million mwezi January amefanya mambo ambayo tayari yanaonesha kila dalili kua atakua msaada sana kwa klabu yake mpya ya Liverpool.

Gerrard alisema: "Ana mambo  ya ajabu anaweza kufanya kiwanjani".

"Nadhani utamuona zaidi msimu ujao akiwa amecheza mechi za matayarisho zote na kuzoea spidi ya ligi hii.

"Alichoonesha kwa dakika 55 au 60 imeonesha kwamba ye ni mchezaji wa juu na anafaa kuiwakilisha klabu hii. Atakapokua tayari kwa dakika zote 90 msimu ujao akiendelea na atakua hazina kubwa kwetu."

Umeshamuona akicheza, nini maoni yako juu yake?

MAN UNITED MBIONI KUCHUKUA UBINGWA LIGI KUU - BREAKING NEWS


Ligi kuu ya soka nchini England, inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja mbali mbali.
Ryan Giggs

Huko Loftous Road, Manchester United imeebuka na ushindi wa mabao mawili kwa bila dhidi ya QPR, huku mshambuliaji Ryan Giggs akifunga bao la pili na kufikisha mabao 999 toka aanze kucheza soka la ushindani na kuifanya timu yake ya Manchester United, kuongeza tofauti ya point 15 na mabingwa watetezi Manchester City.
United ilipata bao lake la mapema kupitia kwa Rafael Da Silva ambaye alifunga kwa shuti kali dakika ya 23 ya kipindi cha kwanza baada ya mlinda mlango wa QPR,Julio Cesar kuokoa kiki la Robin Van Persie.
Rafael ambaye mdogo wake,Fabio yupo QPR kwa mkopo,hii leo alionekana kuwa kwenye kiwango kizuri na kuokoa hatari kadhaa langoni mwa United hasa baada ya kuokoa mpira wa kichwa wa Criss Samba ambao ulikuwa uingie nyavuni.
Licha ya Dan Welbeck na Wayne Rooney kuingia wakitokea benchi,hii leo hawakuweza kupata bao katika ushindi huo ambao unawabakisha United kileleni mwa msimamo wa ligi kuu soka nchini England.
Matokeo haya,yanaendelea kuwabakisha QPR kwenye nafasi ya mwisho ya msimamo wa ligi hiyo yenye upinzani mkubwa duniani.

WASIFU WA KISIASA WA UHURU KENYATTA - BREAKING NEWS


Baada ya kumaliza masomo alishughulika hasa na biashara za familia alizorithi kutoka kwa babake.
Kenyatta aliingia katika siasa za Kenya alipoteuliwa kama mwenyekiti wa tawi la chama cha KANU kilichokuwa kinatawala mwaka 1997. Rais mstaafu Daniel Moi alimuunga mkono sana na ilitokana na msukumo wake ndipo Uhuru aliingia katika siasa.Wengi walitarajia kuwa angeshinda lakini baada ya kushindwa , Uhuru alighadhabika sana na hata kuahidi kuasi siasa.

Wengi waliona hatua ya Moi kama kumtayarisha Uhuru kwa mambo makubwa katika siku za baadayeMara moja akarejea katika biashara za familia yake ambazo zinajumuisha hoteli tano mashuhuri, kampuni za vifaa vya ndege na kilimo cha biashara. Lakini hakujua kuwa Moi bado alikuwa na mpango naye kutaka kumpeleka katika ngazi za juu.


1999 Rais Daniel arap Moi alimpa cheo cha mwenyekiti wa bodi ya utalii. Moi aliendelea kumpandisha ngazi kwa kumpa nafasi ya mbunge mteule na kumfanya waziri msaidizi.2002 akawa makamu mwenyekiti wa KANU. Chama cha KANU kuanzai ahpo kikaanza kugawanyika huku vigogo wa chama hicho wakiondoka chamani.


Tangu alipoingia katika ulingo wa Moi, Uhuru amekwa akitaka kuonyesha watu kuwa yeye anaweza kujitegmea mwenyewe wala sio kibaraka cha Moi kama wengi walivyokuwa wanasema. Baadaye alimshinda kigogo wa chama cha KANU Nicholas Biwot walipogombea uwenyekiti wa chama hicho.



Kenyatta aliendesha kampeini zake kwa kushirikiana na mgombea
mwenza kutoka mkoa wa bonde la Uffa William Ruto


Tangu Julai 2002 ilionekana wazi ya kwamba Moi alimtaka kama mgombea wa urais upande wa KANU atakayemfuata katika ikulu. Mkutano mkuu wa KANU katika mwezi wa Oktoba 2002 uliitikia mapenzi ya rais ukamtangaza Uhuru kama mgombea wa urais.


Tendo hili lilisikitisha wanasiasa wengi wasiokuwa Wakikuyu na kutegemea nafasi hii kwa ajili yao wenyewe. Waliondoka katika KANU na kuendelea katika ushirikiano wa upinzani wa NARC.


Uhuru ulishindwa katika uchaguzi wa 2002 alipata asilimia 31 za kura tu.Katika bunge jipya alikuwa kiongozi wa upinzani lakini aliona pia upinzani ndani ya chama hasa kutoka kwa Nicholas Biwott pamoja na wanasiasa kutoka Bonde la Ufa.


Kwenye mkutano wa chama cha Januari 2005 Uhuru alithibitishwa kwa kura nyingi na hapo Biwott akodnoka chamani na kuunda chama chake cha New Kanu.Katika kura maalumu ya wananchi kuhusu katiba mpya Uhuru alishikamana na viongozi wengine katika kambi ya machungwa.


Mipango yake ya kushiriki katika Orange Democratic Movement(ODM) yalipingwa vikali ndani ya chama kwa sababu wana KANU pamoja na rais mstaafu Moi waliogopa kupotea kwa chama cha kwanza katika historia ya Kenya.


Katika Novemba 2006 Biwott alirudia jaribio la kumpindua Uhuru kwa kuita mkutano wa Kanu mjini Mombasa bila idhini ya mwenyekiti wala kamati ya chama.Hapa alichaguliwa kuwa mweyekiti mpya. Kwa msaada wa serikali Biwott alifaulu kuandikisha kamati yake kama uongozi rasmi hivyo kumwondoa Uhuru katika nafasi ya kiongozi wa upinzani bungeni.


Uhuru alipinga na mahakama kuu ikabatilisha kura ya Mombasa tar. 29 Desemba 2006 ikathibitisha azimio hili katika Juni 2007.


Juni 2007 Uhuru alionyesha wazi ya kwamba alitaka kuacha ushirikiano wa ODM kwa kutopeleka jina lake kati ya wagombea wa urais upande wa ODM. Badala yake alieleza ya kuwa atampigania rais Kibaki achaguliwe tena. Alisema hana nia ya kugombea urais ikiwa hana uhakika kuwa atashinda.


Kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata, Kibaki alitawazwa kama rais licha ya utata huo. Kibaki naye alimteua Uhuru kama waziri wa serikali za mitaa na baada ya mapataono kati ya Kibaki na Odinga , Uhuru aliteuliwa kama naibu waziri mkuu ikiwa ni sehemu ya kugawana mamlaka.


Kenyatta ameweza kuchaguliwa kama rais baada ya kumshinda mpinzani wake Raila Odinga kwa idadi ya kura za urais na kupata asilimia hamini nukta tatu , kama inavyohitajika na katiba mpya.



Uhuru amechaguliwa kama rais wa nne wa Jamuhuri ya Kenya







VIONGOZI WA KOPTI WAMCHAGUA PAPA MPYA - BREAKING NEWS

Baraza la maaskofu wa Kikopti nchini Misri, linatarajiwa kumpigia kura mrithi wa papa Shenouda wa tatu aliyefariki mwezi Machi.
Maaskofu wawili na watawa watatu wako kwenye orodha ya wale wanaogombea wadhifa huo ambapo yeyote atakayeshinda atakuwa kiongozi wa miamoja na kumi na nane kuongoza madheheyo hayo ambayo ndio kundi ndogo sana la wakristo duniani.
Baraza hilo litachagua wagombea watatu na kuandika majina yao kwenye vijikaratasi ambavyo vitawekwa kwenye boxi katika mimbar ya kanisa la mtakakatifu Mark, mjini Cairo.
Kisha mtoto atakayekuwa amefumbwa macho, atachukua kijikaratasi kimoja kutoka kwenye boxi hilo, jina la atakekuwa amechukua ndiye atakuwa Papa mpya.
Atayakuchaguliwa ataapishwa katika sherehe itakayofanyika tarehe 19 mwezi Novemba.
Papa Shenouda wa tatu aliongoza waumini wa kanisa hilo nchini Misri kwa miongo minne na alifariki akiwa na umri wa miaka 88 mwezi Machi, baada ya kuugua saratani.
Aliwataka maafisa wa kanisa hilo kufanya kila wawezalo kushughulikia maswala muhimu ya waumini wa kanisa hilo baada ya mashambulizi kadhaa dhidi ya makanisa katika miaka ya hivi karibuni.
Mrithi wake anakabiliwa na kibarua cha kuwahakikishia kuimarika kwa imani jamii ya waumini wa kanisa hilo hasa wakati huu ambapo harakati za makundi ya kiisilamu zimeshika kasi nchini Misri.
Vijana wengi wa kikopti watakuwa wanatazamia kupata kiongozi atakayewasaidia kuweka bayana majukumu yao chini ya utawala usio kuwa wa Mubarak.

Wednesday 13 March 2013

STAILI MATATA DUNIANI KATIKA SOKA : BREAKTIME


JAMAA ANG'ATWA NA MWIBA SEHEMU ZA SIRI

Jamaa mmoja alikuwa anakojoa kichakani, NYUKI akamng'ata kwenye kichwa cha ......... na Ikavimba kweli kweli! Alipofika kwake, MKEWE akawa anamtoa mwiba huku akisali kimoyo moyo "MUNGU naomba Muondolee mamumivu mume wangu, ila .......... ibaki saizi hii hii! "AMEN. Sijui huyu jamaa mashine yake ilikuwa ni ndogo! Mama atamani ilirudi ka  zamani.Doh!

JOHN NA MAMA YAKE!

Siku moja John alikuwa anacheza na wenzake mara akahisi kiu akaamua kwenda ndani ili anywe maji alipoingia akasikia mama akisema ta ta ta ta! Akamwuliza mama kuna nini huko? mama akasema nacheza karata na baba yako, ghafla baada ya mda kidogo akasikia mama yake analia '' iihh ihh ihh " mtoto hakusita kumuuliza mama yake kwa mshangao, mbona unalia mama sasa!? mama akajibu nimeng'atwa na mdudu. Yule mtoto akakimbilia katika mlango na kuanza kusukuma mlango ili aingie ndani bahati mbaya hakufanikiwa kwani ulikuwa umefungwa na funguo.

FAIL: Usitake nicheke - Take 1


MASAI ATOA MPYA GESTI!

Masai mmoja ugumu ulimzidia na alikuwa ni domo zege, kupiga akili huku na huku akaona bora aende kutafuta malaya katika night club moja hivi.Kweli akapata na wakakubaliana kulala nae kwa usiku huo.baada ya kwenda gesti, yule mwanamke akaanza kumtomasa tomasa, masai alikuwa hoi, sasa baada ya yule msichana kushuka chini na kuanza kunyonya, masai  alichanganyikiwa zaidi kwa raha aliyoisikia, cha kushangaza akamwambia, "kama hiyo inaliwa basi mwachie na mama Yoyoo"

BABU AWAACHA MIDOMO WAZI WASAMALIA WEMA

Babu mmoja aligongwa na gari wakati akivuka barabara, bahati mbaya aliyemgonga akakimbia! wasamalia wema walifika na kuanza kumpatia huduma ya kwanza, watu wakasema "Huyu babu amezimia kwa mshtuko, jamani mmoja wenu akamletee maziwa" Mara babu aliposikia akajibu na bagia za mia tatu jamani usisahau. Wote wakabaki midomo wazi!


JAMAA AVUA NGUO ILI AWEZE KUINGIA DISCO FREE!

Kulikua na disco la watu wenye vipara, sasa kulikua na mtu na demu wake, mume rasta mwanamke kipara; walipofika katika disco hilo getini kuna mkaguzi ambae ni kipofu, sasa demu akawa wa kwanza kuingia na akakaguliwa kama ni kipara, mshikaji kaona kuliko ninyoe rasta zangu bora nitumie akili ya ziada,..Yule jamaa kavua suruali na chupi alipofika getini kapiga sarakasi matako yakawa juu; yule mkaguzi akampapasa matako, akanusa akamwambia mshikaji kweli ni kipara ila hujapiga mswaki.