Thursday, 14 March 2013

BABY HAUTANIWI!?

Boy: Nakupenda sn mpenzi wangu.

Girl: Hata mimi nakupenda sana tena zaidi ya ww unavyonipenda, ila samahani tupendane hivi hivi me maswala ya ngono sipo tayali nakunzia hadi pale utakapo niowa.

Boy: Hilo halina shida hata mimi naomba tupendane hivi hivi maswala ya kuombana hela sitaki, nakutunzia hadi pale ntakavyo kuowa. 

Girl: Mmmmh! Baby hautaniwi.

Tiririkaaaaaaaaa!!!

No comments:

Post a Comment