Thursday, 14 March 2013

HUYU NJEMA NI NOMA!

Jamaa anatembea akaona kitu kama mavi, akashtuka!
"Inaoneka ni kama mavi, jee ni mavi? hebu nishike!" akashika..
"ni laini laini kama mavi, lakini ni kweli mavi?? hebu ninuse"... akanusaa.. 
"mmmph, inanuka kama mavi, lakini kweli mavi? hebu ni rambe" akaramba..
"pppooh! ni mavi!! alhamdulillah sikuyakanyaga!"

No comments:

Post a Comment