Wednesday 13 March 2013

JAMAA AVUA NGUO ILI AWEZE KUINGIA DISCO FREE!

Kulikua na disco la watu wenye vipara, sasa kulikua na mtu na demu wake, mume rasta mwanamke kipara; walipofika katika disco hilo getini kuna mkaguzi ambae ni kipofu, sasa demu akawa wa kwanza kuingia na akakaguliwa kama ni kipara, mshikaji kaona kuliko ninyoe rasta zangu bora nitumie akili ya ziada,..Yule jamaa kavua suruali na chupi alipofika getini kapiga sarakasi matako yakawa juu; yule mkaguzi akampapasa matako, akanusa akamwambia mshikaji kweli ni kipara ila hujapiga mswaki.

No comments:

Post a Comment