Wednesday, 13 March 2013

JOHN NA MAMA YAKE!

Siku moja John alikuwa anacheza na wenzake mara akahisi kiu akaamua kwenda ndani ili anywe maji alipoingia akasikia mama akisema ta ta ta ta! Akamwuliza mama kuna nini huko? mama akasema nacheza karata na baba yako, ghafla baada ya mda kidogo akasikia mama yake analia '' iihh ihh ihh " mtoto hakusita kumuuliza mama yake kwa mshangao, mbona unalia mama sasa!? mama akajibu nimeng'atwa na mdudu. Yule mtoto akakimbilia katika mlango na kuanza kusukuma mlango ili aingie ndani bahati mbaya hakufanikiwa kwani ulikuwa umefungwa na funguo.

No comments:

Post a Comment