Thursday, 14 March 2013

NAHODHA WA LIVERPOOL STEVEN GERRARD AKIMSIFU PHILIPPE COUTINHO - BREAKING NEWS

Akiwa na miaka 20 Philippe Coutinho akiwa amekamilisha usajili wa kuichezea Liverpool akitokea Inter Milan kwa dau la €10 million mwezi January amefanya mambo ambayo tayari yanaonesha kila dalili kua atakua msaada sana kwa klabu yake mpya ya Liverpool.

Gerrard alisema: "Ana mambo ya ajabu anaweza kufanya kiwanjani".

"Nadhani utamuona zaidi msimu ujao akiwa amecheza mechi za matayarisho zote na kuzoea spidi ya ligi hii.
"Alichoonesha kwa dakika 55 au 60 imeonesha kwamba ye ni mchezaji wa juu na anafaa kuiwakilisha klabu hii. Atakapokua tayari kwa dakika zote 90 msimu ujao akiendelea na atakua hazina kubwa kwetu."

Umeshamuona akicheza, nini maoni yako juu yake?
Nahodha wa Liverpool Steven Gerrard akimsifu Philippe Coutinho.

No comments:

Post a Comment