Wednesday, 13 March 2013

BABU AWAACHA MIDOMO WAZI WASAMALIA WEMA

Babu mmoja aligongwa na gari wakati akivuka barabara, bahati mbaya aliyemgonga akakimbia! wasamalia wema walifika na kuanza kumpatia huduma ya kwanza, watu wakasema "Huyu babu amezimia kwa mshtuko, jamani mmoja wenu akamletee maziwa" Mara babu aliposikia akajibu na bagia za mia tatu jamani usisahau. Wote wakabaki midomo wazi!


No comments:

Post a Comment