Wednesday, 13 March 2013

JAMAA ANG'ATWA NA MWIBA SEHEMU ZA SIRI

Jamaa mmoja alikuwa anakojoa kichakani, NYUKI akamng'ata kwenye kichwa cha ......... na Ikavimba kweli kweli! Alipofika kwake, MKEWE akawa anamtoa mwiba huku akisali kimoyo moyo "MUNGU naomba Muondolee mamumivu mume wangu, ila .......... ibaki saizi hii hii! "AMEN. Sijui huyu jamaa mashine yake ilikuwa ni ndogo! Mama atamani ilirudi ka  zamani.Doh!

No comments:

Post a Comment